Madhara ya Viatu Virefu.

Viatu virefu vinaweza kuwa na madhara kwa wavaaji wake.
Kutana na uwanja wa fashion ambapo Barbra William atakufundisha mambo mbalimbali kuhusiana na mitindo na fashion kwa ujumla. Mwezi huu ameweza kutufundisha madhara ya viatu virefu.

NI dhahiri kuwa viatu virefu huvaliwa na watu wengi na wengi huona ni viatu vizuri lakini kuna madhara mbalimbali ambayo yanatokana na uvaaji wa viatu virefu.

Pata nakala yako kwa sasa uweze kusoma zaidi.
Share on Google Plus

About Open Africa Magazine

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment